Bei ya petroli yapaa, ni ya juu zaidi katika miezi 20 iliyopita Sh2,840 ya lita ya mafuta ya taa iliyosalia kwa miezi minne mfululizo ni chini zaidi katika miezi 21 iliyopita, ambapo Agosti 2022 ilikua Sh3,765 ambayo haijawahi kufikiwa.
PRIME Kwa nini tusiwapoteze wanaotaka kutupoteza? Japo walijulikana, watu wasiojulikana walijulikana kwa unyama na ushenzi wao enzi zile za ubabe na uungu ngurumbili. Kuna mafyatu walipotezwa na mafyatu wasiojulikana bila hata kujulikana...
Makamu wa Rais mgeni rasmi Mei Mosi Maadhimisho ya Mei Mosi, 2024 kitaifa mwaka huu yanafanyika katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha ambapo awali Rais Samia Suluhu Hassan, alitarajiwa kuwa mgeni rasmi katika...
Chadema waanza maandamano Kilimanjaro Maandamano hayo yameanzia njia za Mailisita, Mbwaruki Getifonga, wote watakutana mjini Moshi na kuelekea Viwanja vya Mashujaa kutakapofanyika mkutano wa hadhara
Kisebengo kizimbani akidaiwa kusafirisha heroini na kokeni Mkazi wa Mbezi jijini Dar es Salaam, Nasibu Kisebengo (44), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka matatu ikiwemo kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroini...
Makonda ajizuia kuzungumza akihofia ‘kulikoroga’ mbele ya Dk Mpango “Hapa nitayakoroga mambo Mheshimiwa Makamu wa Rais uniruhusu niseme matatu, ukiwa na furaha sana unaweza ukajikuta unasema mambo mengi,” amesema.
JKT yafufua boti iliyoharibika miaka 20 iliyopita Akizindua boti hiyo Aprili 30, 2024, Brigedia Jenerali Hassan Mabena amesema boti hiyo itatumika katika shughuli za ulinzi wa Ziwa la Tanganyika hususan kupamba na wavuvi haramu na wahalifu...
Wasichana wapewa mbinu kumudu masomo ya sayansi Kikubwa kinachoangaliwa ni kubuni na kutengeneza mifumo inayotatua changamoto za jamii
Miaka 10 ya ACT Wazalendo wakijenga imani katika nyakati ngumu Mwanzo unaendana na tenzi ya “wanakwenu kwa heri”, au hadithi ya wana wa Israel kuondoka Misri, kufuata malisho mema Nchi ya Ahadi. Wanasiasa walioshindwa kuiva chungu kimoja na viongozi wenzao...
Michango ya harusi inavyowaumiza Watanzania kiuchumi Sherehe za harusi zifanyike kulingana na uwezo wa familia, ufahari wa harusi haumaanishi kuwa ndio ndoa bora, na upangaji wa michango uzingatie hali za watu kifedha na kimaisha.
PRIME Sababu kwa nini Mgunda anatosha Simba Mashabiki wa Simba wamepata mzuka upya wakiwa na matumaini makubwa kwa kocha wa timu hiyo Juma Mgunda ambaye anasaidiana na Selemani Matola. Mgunda ambaye alikuwa timu ya Wanawake Simba Queens...
Davido, Wizkid kama Diamond na Konde hapatoshi Wanamuziki kutoka nchini Nigeria, Davido pamoja na Wizkid wapo katika bifu zito, baada ya shabiki wa Wizkid katika mtandao wa X (zamani Twitter) kumuomba msanii huyo atoe ngoma mpya ambapo Wizkid...
PRIME Kwa nini tusiwapoteze wanaotaka kutupoteza? Japo walijulikana, watu wasiojulikana walijulikana kwa unyama na ushenzi wao enzi zile za ubabe na uungu ngurumbili. Kuna mafyatu walipotezwa na mafyatu wasiojulikana bila hata kujulikana...
Hii ndiyo elimu itakayokomesha ajira zinazodhalilisha Watanzania nje Kuna uwezekano mkubwa wa kuzuia Watanzania kudhalilika nje, ikiwa mfumo wa elimu utawawezesha kuwa na uwezo wa kujiajiri au kurandana na mahitaji ya soko.